Tuesday 7 October 2014

Hii ndio Bongo

Tuesday, October 07, 2014 2 comments

Ilikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja aliingia na kibinti kizuri kwenye yard ya magari mapya. MZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi....kabinti akazunguka yard yote mwisho akachagua Verrosa metallic . BINTI: Mi naitaka hii MZEE: Hakuna tatizo kabisaaa, mtoto mzuri kama wewe lazima upate gari uloichagua mwenyewe. Mzee akatoa kitabu cha cheki na kuandika palepale na kumpa mwenye yard MUUZAJI: Sasa Mzee kwa kuwa umetoa cheki, gari utakuja chukua Jumatatu tukishahakikisha kuwa Account yako ina pesa benki. Naomba namba yako ya simu Mzee MZEE: Hakuna tatizo (akampa namba). Haya twende zetu sweetie Jumatatu tunakuja wote kuchukua gari lako... Siku ya Jumatatu mwenye yard kampigia simu Mzee. MUUZAJI: We Mzee kavu sana, akaunti yako haina hata senti tano. MZEE: Hilo nilijua, lakini wiki endi yangu ilikuwa tamu sana.

TOFAUTI YA MPENZI WA KIZUNGU NA WA KIBONGO!!!

Tuesday, October 07, 2014

Mpenzi wa kizungu akikupigia usipopokea ataku TEXT honey whats wrong? Are you alright? I hope you are safe! Call me back I love you baby!! MPENZI WA KIBONGO SASA USIPOPOKEA SIMU YAKE MESEJI ITAKAYOFUATA! we Mshenzi Umalaya utakuua Mbwa wewe! Na mwaka huu UKIMWI utakumaliza! Na usinipigie simu na namba yangu futa endelea na hao hao malaya wenzio tena usinizoee. Nyoko wewe.

Mitoto mingine duuh

Tuesday, October 07, 2014 No comments

Jamaa alikuwa anapiga story na baba yake, Mtoto:baba me nataka kuoa Baba:vizuri mwanangu,vipi umeshapata mchumba? Mtoto:ndio Baba:unataka kumuoa nani? Mtoto:nataka kumuoa bibi Baba:ha! Yani umuoe mama yangu? Mtoto:ndio baba mbona we umemuoa mama yangu Duuu kusikia hivyo mshua akachoka!!

Thursday 2 October 2014

Hii ndio Tanzania

Thursday, October 02, 2014

Nchi ambayo watu hushinda online 24 hours kila post wanacomment alafu wanalalamika maisha magum#shenzy fanya kazi Nchi ambayo watu hawajui katiba yao ya zaman lakini wanataka katiba mpya kwa hali na mali!!##pumbavu penda kujifunza Nchi ambayo ajira ni nyingi lakini wasomi asilimia 90 wanataka kuajiriwa## Kilaza jifunze kujiajiri Nchi ambayo mnatongozana asubui jioni mko supermapenzi gest house## nyambafu mnatofaut gani na ng'ombe wa mbegu....kuwa mgumu wewe sometym Nchi ambayo mitaala na matokeo ya sekondari yanabadilishiwa utaratibu kila cku ili taaluma ipande lakni ndo kwaanza manunda yanaongezeka## Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.....nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana.

Wazo la Leo

Thursday, October 02, 2014

@"Kumbuka "@ Maisha sio KWAYA kwamba wote mtacheza staili moja Bali Maisha ni kama REGE kila mtu atacheza awezavyo

Saturday 27 September 2014

Ficha..... Usifiche..???

Saturday, September 27, 2014

Wanawake wa siku hizi..????

Saturday, September 27, 2014 No comments

Wanawake wa siku hizi wanafurahisha sana.( ila sio wote)!! 1. Wana nywele fake 2. Makalio fake 3. Weupe fake 4. Kucha fake 5. Kope fake 6. Ahadi fake Na kila kitu chao fake!. Lakina bila aibu utawasikia "I want a real men...!!!". #weeee unaijua real wewe..... Ha ha haaaaa!! Mwaya natania tu...