Tuesday, 7 October 2014

Hii ndio Bongo

Tuesday, October 07, 2014 2 comments

Ilikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja aliingia na kibinti kizuri kwenye yard ya magari mapya. MZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi....kabinti akazunguka yard yote mwisho akachagua Verrosa metallic . BINTI: Mi naitaka hii MZEE: Hakuna tatizo...

TOFAUTI YA MPENZI WA KIZUNGU NA WA KIBONGO!!!

Tuesday, October 07, 2014

Mpenzi wa kizungu akikupigia usipopokea ataku TEXT honey whats wrong? Are you alright? I hope you are safe! Call me back I love you baby!! MPENZI WA KIBONGO SASA USIPOPOKEA SIMU YAKE MESEJI ITAKAYOFUATA! we Mshenzi Umalaya utakuua Mbwa wewe! Na mwaka...

Mitoto mingine duuh

Tuesday, October 07, 2014 No comments

Jamaa alikuwa anapiga story na baba yake, Mtoto:baba me nataka kuoa Baba:vizuri mwanangu,vipi umeshapata mchumba? Mtoto:ndio Baba:unataka kumuoa nani? Mtoto:nataka kumuoa bibi Baba:ha! Yani umuoe mama yangu? Mtoto:ndio baba mbona we umemuoa mama...

Thursday, 2 October 2014

Hii ndio Tanzania

Thursday, October 02, 2014

Nchi ambayo watu hushinda online 24 hours kila post wanacomment alafu wanalalamika maisha magum#shenzy fanya kazi Nchi ambayo watu hawajui katiba yao ya zaman lakini wanataka katiba mpya kwa hali na mali!!##pumbavu penda kujifunza Nchi ambayo ajira...

Wazo la Leo

Thursday, October 02, 2014

@"Kumbuka "@ Maisha sio KWAYA kwamba wote mtacheza staili moja Bali Maisha ni kama REGE kila mtu atacheza aweza...

Saturday, 27 September 2014

Ficha..... Usifiche..???

Saturday, September 27, 2014

...

Wanawake wa siku hizi..????

Saturday, September 27, 2014 No comments

Wanawake wa siku hizi wanafurahisha sana.( ila sio wote)!! 1. Wana nywele fake 2. Makalio fake 3. Weupe fake 4. Kucha fake 5. Kope fake 6. Ahadi fake Na kila kitu chao fake!. Lakina bila aibu utawasikia "I want a real men...!!!". #weeee unaijua real...