Showing posts with label decent. Show all posts
Showing posts with label decent. Show all posts
Tuesday, 16 September 2014
Wednesday, 10 September 2014
Haya Yana Ukweli Wowote??
Wednesday, September 10, 2014
decent
No comments
Mambo 3 fanya kwa kufikiria sana:
1: MAPENZI
2: MAONGEZI
3: MAAMUZI
mambo 3 usiyaone mepesi:
1: MADENI
2: MAJUKUMU
3: MARADHI
mambo 3 ni muhimu kupata duniani:
1: KAZI
2: MTOTO
3: HESHIMA
Watu 3 uwajali sana ktk maisha yako
1: WAZAZI WAKO
2: MPENZI WAKO
3: NDUGU ZAKO
Vitu 3 hivi ndio nguzo ya penzi
1: KUPENDANA
2: KUAMINIANA
3: KUVUMILIANA
Vitu hivi havina ulazima ktk mapenzi
1: UZURI
2: ELIMU
3: PESA .
Sunday, 12 January 2014
Duuh binadamu bwana????
Sunday, January 12, 2014
decent
No comments
Baba 1 alikuwa anasafiri kwa punda na mwanaye ,akampandisha mtoto kwenye punda yeye akitembea, watu wakasema anamdekeza mtoto, akaamua kupanda yeye na kumwacha mtoto anatembea, watu wakasema ukatili gani, anastarehe wakati mtoto anataabika, akaamua kupanda yeye na mtoto, watu wakasema ukatili dhidi ya wanyama,akaamua yeye na mwanawe kutembea watu wakadai hajui kutumia punda. Hivyo ishi upendavyo maana hata ufanyeje huwezi kuwaridhisha wote duniani.
Thursday, 24 October 2013
Ni kipi umesha tekeleza kati ya hvi??
Thursday, October 24, 2013
decent
No comments
KUMBUKA Kitu bora cha kumpa mwenzio ni "UVUMILIVU",cha kumpa adui ni "MSAMAHA",cha kumpa maskini ni "MSAADA",cha kuwapa wazazI ni"HESHIMA",cha kumpa rafiki ni "USIKIVU"cha kumpa mtoto ni "MAARIFA"cha kujipa mwnyw ni "KUJIHESHIMU", cha kuwapa watu wote ni "UPENDO"Lakini cha kumpa MUNGU ni "MAISHA YAKO YOTE"
Thursday, 12 September 2013
Je Unafikiri kingetokea nini?
Thursday, September 12, 2013
decent
No comments
Endapo watu:-Wangeihangaikia ibada kama wanavyoihangaikia PESA,wakaogopa DHAMBI kama wanavyoogopa SHOTI ya UMEME,Wakaiheshim BIBLIA na MSAHAFU kama wanavyoiheshimu KATIBA ya NCHI,Wakamtambua MUNGU kama wanavyomtambua RAIS, Wakawathamini wahubiri kama wanavyowathamini MABOSI na WAPENZI wao, wakatoa SADAKA kama wanavyotoa RUSHWA,Wakajitolea kukesha ktk IBADA kama wanavyojitolea kukesha DISKO au kwenye BAR? Ewe umpendaye Mungu zinduka kutoka kwenye USINGIZI HUU!!
Sunday, 8 September 2013
Je? wajionaje hali..?
Sunday, September 08, 2013
decent
No comments
"SALAM" ni ladha kuliko "Asali" si "CHUNGU" wala si "KALI"
"SALAM" zawadi "BORA" kuliko kupewa "MALI"
"SALAM" ndio ishara ya mtu "ANAEKUJALI"
Sitoipata "HASARA" kukujuza yangu "HALI" mi sijambo sijui "WEWE" yako "HALI"
"SISEMI" niko "IMARA" lakini ni "AFADHALI"
"Je? wajionaje hali..?".
"SALAM" zawadi "BORA" kuliko kupewa "MALI"
"SALAM" ndio ishara ya mtu "ANAEKUJALI"
Sitoipata "HASARA" kukujuza yangu "HALI" mi sijambo sijui "WEWE" yako "HALI"
"SISEMI" niko "IMARA" lakini ni "AFADHALI"
"Je? wajionaje hali..?".
MAISHA ni kitabu
Sunday, September 08, 2013
decent
No comments
MAISHA ni kitabu kikubwa cha HADITHI ambacho hakina namba za kurasa;kila siku unapoamka
unafungua ukurasa MPYA,hujui zimebaki kurasa ngapi.hivyo,MHESHIMU,MPENDE,na KUMTUMIKIA MUNGU maana yeye ndiye anayejua idadi ya kurasa, na kukuruhusu kufungua ukurasa mpya kila leo.
unafungua ukurasa MPYA,hujui zimebaki kurasa ngapi.hivyo,MHESHIMU,MPENDE,na KUMTUMIKIA MUNGU maana yeye ndiye anayejua idadi ya kurasa, na kukuruhusu kufungua ukurasa mpya kila leo.
Chukua muda wako kuisoma hii:
Sunday, September 08, 2013
decent
No comments
Binti mmoja alimuaga mama yake na kumwambia naenda matembezi na marafiki zangu. Mama yake akamwambia "Mungu na awe nawe pamoja katika safari yako". Kwa dharau na kiburi binti akajibu "mh mama gari limejaa labda huyo Mungu akae kwenye boot kama anaweza. Kwa kasi akawasha gari wakaondoka. Mara njiani wakapata ajali mbaya kiasi kwamba walitambuliwa tu kwa mavazi waliyovaa. Police walipofungua kwenye boot wakakuta matrey mawili ya mayai yakiwa salama kabisa;wakastaajabu sana. HAKIKA MUNGU HADHIHAKIWI NA DAIMA ATAKUWA NAWE PALE UTAKAPOMUHITAJI.JE,UKO TAYARI?
Sunday, September 08, 2013
decent
No comments
Nahuzunika sababu umenitoa kwenye moyo wako na sijajua sababu ni nini na ni nani huyo uliyempa hiyo nafasi yangu?bado natamani nikae MOYONI mwako naomba nipe nafasi tena nitakukumbatia,nitakushika mkono,nitakuongoza upate pendo langu nakupenda kuliko kitu chochote katika dunia hii
I LOVE YOU ni mimi niliyetoa UHAI wangu kwa ajili yako
YESU KRISTO JE,UKO TAYARI KUONGOZWA NA YESU KTK MAISHA YAKO?
You can close
Sunday, September 08, 2013
decent
No comments
You can close your eyes to the things you do not want to see, but you cannot close your heart to the things you do not want to feel.
Sunday, 5 May 2013
Zingatia kwa makini falsafa hii
Sunday, May 05, 2013
decent,
games
No comments
Mwana falsafa Dr.Martin Luther King aliwahi kusema kua, "Ukimya wa rafiki yako unaumiza sana kuliko kelele za adui yako" !!
Ee MUNGU
Sunday, May 05, 2013
decent
No comments
Ee MUNGU Ulisema SIKU Za Mwisho UPENDO Wa WENGI Utapoa:
Muangalie MTU huyu alikuwa ANANIKUMBUKA Kila SEKUNDE:
Ikaja Kila DAKIKA:
Ikaja Kila SAA:
Ikaja Kila SIKU Mara 1:
Ikaja Kila WIKI Mara 1:
SAA hizi HANIKUMBUKI Mpaka NIMSHTUE.
Ee BABA Msaidie MTU huyu ili UPENDO Wake Kwangu USIPOE Zaidi:
"AMINA".











