Sunday, 8 September 2013

Chukua muda wako kuisoma hii:

Sunday, September 08, 2013 No comments

Binti mmoja alimuaga mama yake na kumwambia naenda matembezi na marafiki zangu. Mama yake akamwambia "Mungu na awe nawe pamoja katika safari yako". Kwa dharau na kiburi binti akajibu "mh mama gari limejaa labda huyo Mungu akae kwenye boot kama anaweza. Kwa kasi akawasha gari wakaondoka. Mara njiani wakapata ajali mbaya kiasi kwamba walitambuliwa tu kwa mavazi waliyovaa. Police walipofungua kwenye boot wakakuta matrey mawili ya mayai yakiwa salama kabisa;wakastaajabu sana. HAKIKA MUNGU HADHIHAKIWI NA DAIMA ATAKUWA NAWE PALE UTAKAPOMUHITAJI.

0 comments:

Post a Comment