Saturday, 14 September 2013

MANGI NA MBINGUNI WAPI NA WAPI!

Saturday, September 14, 2013 No comments

Mangi alipokufa aliulizwa na
MALAIKA:kushoto kwako ni peponi, kulia ni Jehanam. unapenda uende wapi?
MANGI: Nitabaki katikati ya peponi na Jehanam
MALAIKA:Kwanini?
MANGI:nikifungua duka hapo wote wa mbinguni na jehanam watafika kununua bidhaa. Chezea mchaga wewe!!!.

0 comments:

Post a Comment