Sunday 22 September 2013

Tuwe makini na lugha za kihuni kazini!

Sunday, September 22, 2013 No comments

Mama mmoja amezimia leo Leba baada ya Dr. kumwambia kuwa amezaa Jembe. Kumbe Dr maskin alimaanisha mtoto wa Kiume!

0 comments:

Post a Comment