Tuesday 1 October 2013

Huyu mwizi ni kiboko

Tuesday, October 01, 2013 No comments

Mwizi baada ya kusomewa mashtaka ya kuiba simu akaambiwa ajitete:
Hakimu:"Toa utetezi wako kwa nini uliiba simu?"
Mshtakiwa:"Nilikuwa napita zangu nikasikia simu inaita 'NIBEBE NIBEBE NICHUKUE UNIBEBE
MIKONONI MWAKO NIWE SALAMA' mheshimiwa mi nikaichukua!!"

0 comments:

Post a Comment