Showing posts with label games. Show all posts
Showing posts with label games. Show all posts

Sunday, 7 July 2013

No one Notices

Sunday, July 07, 2013 , No comments

No one Notices your tears, No one Notices your sadness, No one Notices your pain but they are all  Notices your mistakes.

Girls' Dictionary

Sunday, July 07, 2013 , No comments

NO = YES                                                                                                                                                 

MAYBE = NO

WE NEED = I WANT

WE NEED TO TALK = YOU ARE IN DEEP TROUBLE

Don't be Dissappointed

Sunday, July 07, 2013 , No comments

The ones who says "YOU CANT" and "YOU WONT" are probably  the ones scared that "YOU WILL"

Today's Relationship

Sunday, July 07, 2013 , No comments

You can touch each other, but not each others phones.

Sunday, 30 June 2013

Pokea Uponyaji Sasa!

Sunday, June 30, 2013 , No comments

Navunjavunja kbs Nguvu za "DEAR 2TOKE OUT JION", nateketeza mamlaka za "I LOV U DEAR" huku ukijua dhahiri humpendi. Naharibu kbs vishindo vya GUEST HOUSE. Naondoa mapepo yote ya "KUCHAT UCKU KUCHA" nakataa majina yote ya kinafki,eti "DEAR,HONEY, SWEET, DARLNG,APPLE, MY CHOCLATE,MY LOVE" kwani  yote ni ubatili m2pu! Pokea Upako wa KUKESHA UKIOMBA. Baba mimina baraka zako wa2 waitane majina ya upako,km "WAPENDWA na "M2MISHI.

Ukiwa jeuri kuna jeuri zaidi yako.

Sunday, June 30, 2013 , No comments

Gari liliondoka KARIAKOO kufika MANZESE konda akauliza kuna mtu anashuka? Dada mmoja akajibu tumeziacha nyumbani tuna mitandio tu kufika mbele yule dada alie leta nyodo akawa anashuka UBUNGO MAZIWA akasema konda nashuka maziwa konda akasema kayanunulie Sidiria yasishuke

Sunday, 5 May 2013

Mzee umetisha

Sunday, May 05, 2013 , No comments

Mzee 1 alipanda daladala, akakaa cti 1 na bint flani. Bac Mzee akajpendekeza had akaomba namba ya cm ya bint
Binti: Mbona cna cm Mzee ila na2miaga email.
Mzee: Haya niandikie hapa hiyo email yako!

Zingatia kwa makini falsafa hii

Sunday, May 05, 2013 , No comments

Mwana falsafa Dr.Martin Luther King aliwahi kusema kua, "Ukimya wa rafiki yako unaumiza sana kuliko kelele za adui yako"  !!

UONGO MWINGINE JAMAN.......

Sunday, May 05, 2013 , No comments



 
 
 
 
Jamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi wewe unasoma?
Jamaa: Ndo nipo kidato cha nne Jangwani.
Demu: Jamani hiyo si shule ya wasichana?
Jamaa: Aaah sory nimechanganya nipo Kisutu
Demu: Mwee mbona nayo ya wasichana...
Jamaa: haaah aaah nilikuwa nakutania tu nachukua masters VETA.
Demu: Mh ina maana VETA imeanza kutoa masters?
Jamaa: Ishia zako demu mwenyewe hulipi wala nini...unaniuliza maswali kama Tupo uhamiaji?
KWA TAHARIFA YAKO NACHUKUA DEGREE YA UDAKTARI CBE.