Wednesday 18 September 2013

CHEZEA KIINGEREZA WEWE!

Wednesday, September 18, 2013 No comments

Jamaa alikuwa beach anapunga upepo mara akapita mzungu M1 akamuuliza " are you relaX?". Jamaa akamjibu NO, baada ya muda kidogo akapita mzungu mwingine akamuuliza tena "are you relax" jamaa akamjibu kwa hasira NOO mimi ni ALEX, Jamaa akaamua atoke lile eneo, Mbele kidogo akamkuta mzungu mwingine anapunga upepo jamäa akamuliza are you relax? Mzungu akajibu YES jamaa akampiga kofi la nguvu pumbavu we wenzako wanakutafuta kumbe we upo huku nenda kule. 

0 comments:

Post a Comment