Wednesday 18 September 2013

Mlevi huyu duuh

Wednesday, September 18, 2013 No comments

Waumini waliambiwa watoe michango ili wazungushie ukuta  eneo la makaburi. Mchungaji akauliza kuna mtu ana swali?
Mlevi mmoja akauliza  'Je Kuna Marehemu yeyote aliyewahi kutoroka'?
Kama hakuna, ukuta wa nini sasa?'...
Au ndo ufisadi hadi kwenye makaburi?Mchungaji kimyaaaaaa!

0 comments:

Post a Comment