Friday 20 September 2013

Chezea mburula wewe!!.

Friday, September 20, 2013 No comments

Jamaa aliamua kumtoa demu wake aut kwaajili ya chakula cha usiku kufika hotelini wakakaa mezani muhudumu akaja, kaka nikuhudumie nini, tafadhali :NILETEE MENU LIST: dada na wewe, dada ajibu kwa pozi tena kwakujishaua," NA MIMI NILETEE MENU LIST ILA USIWEKE CHUMVI NYINGI"

0 comments:

Post a Comment