Wednesday, 18 September 2013

Linda Password zako kwenye Firefox kwa kutumia Master Password

Wednesday, September 18, 2013 No comments


Master password inakuwezesha kulinda database ya password zako ulizosave kwenye browser kulindwa kwa kutumia password moja kuu, hivyo mtu hataweza kuona password zako.. Jinsi ya kuweka master password ni kama ifuatavyo

  1. Juu ya  Firefox window, Bonyeza Firefox button kisha chagua Options
  2. Bonyeza Security panel.
  3. Weka alama ya pata kwenye  Use a master password.
Master Password - Win2

4. Window ya kubadili password itafunguka  na utaingiza password unayotaka kuwa master na utairudia kisha utabonyeza OK

Master Password - Win3
5. Hapo utakuwa umelinda password zako.

0 comments:

Post a Comment