Thursday, 12 September 2013

Je Unafikiri kingetokea nini?

Thursday, September 12, 2013 No comments

Endapo watu:-Wangeihangaikia ibada kama wanavyoihangaikia PESA,wakaogopa DHAMBI kama wanavyoogopa SHOTI ya UMEME,Wakaiheshim BIBLIA na MSAHAFU kama wanavyoiheshimu KATIBA ya NCHI,Wakamtambua MUNGU kama wanavyomtambua RAIS, Wakawathamini wahubiri  kama wanavyowathamini MABOSI na WAPENZI wao, wakatoa SADAKA kama wanavyotoa RUSHWA,Wakajitolea kukesha ktk IBADA kama wanavyojitolea kukesha DISKO au kwenye BAR? Ewe umpendaye Mungu zinduka kutoka kwenye  USINGIZI HUU!! 

0 comments:

Post a Comment