Saturday, 14 September 2013

JINSI YA KURUDISHA FILES ZILIZOFUTWA BILA KUTUMIA SOFTWARE

Saturday, September 14, 2013 No comments

Kuna wakati unajikuta unafuta file lako mpaka kwenye recycle bin kwa bahati mbaya, Kwenye window 7 kuna PREVIOUS VERSION hii hutokea kwenye restore points au windows backup.Hii itatusaidia kurudisha mafile tuliyoyafuta.
Kwa mfano umefuta picha  inayoitwa  "flower.jpg" kutoka kwenye folder linaloitwa "My Picture"
basi fuata step hizi kulirudisha

1.Right Click folder linaloitwa "My Picture" 
2.Chagua  "Restore previous versions" , Utaona mafolder yote ya "My Picture" yaliyokuwa restored
3. Chagua folder moja na kisha uchague restore au copy, hivyo utakuwa umelirudisha file lako.
NOTE  
Kama  ukiright click huoni option "Restore previous Versions" basi fuata step hizi
1.Control Panel -->
2.System and Secutiry -->
3.System --> 

4.System Protection (kushoto) -->
5.Chagua drive na kisha bonyeza Configure -->
kisha chagua  "Restore system setting and previous versions of files" -->
halafu bonyeza  OK

 

0 comments:

Post a Comment