Saturday, 14 September 2013
Partition Hard Disk kwenye Windows 7 bila ya kuformat
Saturday, September 14, 2013
howto
No comments
Windows 7 Disk Management tool inakuwezesha kumanage hard disk partitions and volumes. Fuata njia hii rahisi ya kutengneza partion mpya.
1.Bonyeza window key + R , andika command diskmgmt.msc na kisha bonyeza Ok, Disk management window itafunguka
3. Chagua drive unayotaka kuifanyia partition na uright click na uchague ” Shrink Volume.. “.
4.Window mpya itafunguka kisha utajaza size ya drive yako mpya na ubonyeze shrink
5. Window mpya itafunguka chagua chumba kilichoandikwa "Unallocated " kisha right click na uchague “ New Simple Volume “.
6. Window itafungula bonyeza next, chagua “ NTFS ”format na uandike jina la drive yako mpya kisha bonyeza Next
7. Bonyeza Finish
8.Hapo utakuwa umemaliza
0 comments:
Post a Comment