Sunday 29 September 2013

Kabila linaloongoza kwa????

Sunday, September 29, 2013 No comments

MCHAGA anamdai MPARE hela. Huku MSAMBAA akishuhudia
MPARE:nimesema sikupi bora nijiue... (kwa ubahili wake mpare akajichoma kisu akafa)
MCHAGA:kiruu umejiua mbee sikubali nakufuata huko huko unipe pesa yangu (kwa kupenda hela mchaga nae akajichoma kisu ili amfuate)
MSAMBAA: tateee nane nane..yaani hawa wanataka kuninyima uhondo wanaenda kudaiana huko ili nisione,walah
sikubali nami najichoma (msambaa kwa umbea tu,na uboya wake nae akajichoma akafa) .

0 comments:

Post a Comment