Sunday 29 September 2013

POLE KWA PRESHA!!!

Sunday, September 29, 2013 No comments

Unapomtangazia ubaya mwenzio unapata faida gani? Huo umbea wako unakusaidia nini? Lengo lako kutaka kunichafua? au vp Kama umechoka kuheshimiana mimi na wewe bora unipotezee kuliko kufanya haya uliyonifanyia. Lini uliniona nafanya kazi hiyo unayo nipakazia? Sikutegemea mtu kama wewe ukaacha shughuli zako zote na kufunga safari hadi kwa watu! Kipi kilichokusibu hadi kuwambia  watu kama mimi nimejiunga  na MINI KABAANG. Unacheka nini sasa. POLE KWA PRESHA.

0 comments:

Post a Comment