Thursday 26 September 2013

Ungekuwa wewe Polisi ungeenda?

Thursday, September 26, 2013 No comments

Wakati benki inavamiwa, nikapiga 112 nikajibiwa:- "KARIBU JESHI LA POLISI KITENGO CHA DHARULA, for Swahili press 1 for Engl press 2" Nikabonyeza 1, Sauti ikasema "Kwa Ajali ya barabarani au Moto bonyeza 1 kwa Ujambazi bonyeza 2" Nikabonyeza 2, Sauti ikasema: "Kama majambazi wana Rungu, Panga na Visu bonyeza 1, Kama wana Pisto bonyeza 2, Kama wana SMG bonyeza 3, Kama wana AK 47 bonyeza 4, Kama wana Bomu 5, Kama wanavyote bonyeza 0" Nikabonyeza 0. Sauti ikasema:- "Mmh.! Ndugu yangu ungekua wewe ni polisi ungeenda kweli...!?

0 comments:

Post a Comment