Thursday 26 September 2013

Mitoto mingine bwana!!

Thursday, September 26, 2013 No comments

Mtoto kamuuliza babake: ''Eti baba, unataka kuanza tena shule? Baba: ''Kwa nini umeniuliza hivyo? Mtoto: ''Jana uthiku, nilithikia' ukimnong'oneza mama, eti, kama anakupenda, murudie la pili..! ''Hivi baba mimi niko la nne wewe na mama itakuwaje mwende la pili? Uthikubali hata kidogo'

0 comments:

Post a Comment