Sunday, 6 October 2013

Bwana harusi huyu mmh

Sunday, October 06, 2013 No comments

Bwana harusi alipoulizwa tu, "Una kitu gani kama ishara ya upendo wenu!?".
Akafungua zipu akaitoa na kuanza kuiingiza kwa mkewe polepole. Watu wote wakaduwaa!!!.
Bibi harusi nae akaing'ang'aniza hadi ikaingia yote! Basi watu wote pale nao wakashangilia kwa nguvu na kupiga makofi kwani wao wote hawakuamini kwa jinsi ambavyo ilikua inaingia
ile PETE YA NDOA!

0 comments:

Post a Comment