Sunday, 6 October 2013
Madenti wengine bwana
Sunday, October 06, 2013
funnysms
No comments
Mwalimu:kwanini umechelewa kuja shuleni?
Mwanafunzi:kuna mzee alidondosha hela,ndio aliyenichelewesha.
Mwalimu:safi sana, kwahiyo ukawa unamsaidia kutafuta hela yake,wanafunzi wote inabidi muwe na moyo kama wa mwenzenu,inabidi
mjitolee kwa wale wanaohitaji misaada kutoka kwenu.
Mwanafunzi:Hapana hela yenyewe nilikuwa nimeikanyaga sasa nilikuwa
namsubiri aondoke ili niiokote.
0 comments:
Post a Comment