Tuesday, 8 October 2013

Sikia hii toka kwa hawa madomo zege

Tuesday, October 08, 2013 No comments

Wanaume 3 walichanganyikiwa walipomuona demu mzuri, basi kila mmoja akawa anajinadi kivyake kama hivi;-
1) Naitwa MUHAMMAD lakini sio Mtume.
2)Naitwa YOHANA lakini siyo Mbatizaji.
3)Naitwa PETRO lakini sio Msaliti.
BASI wote wakauliza sijui mwenzetu unaitwa nani.??
Dem akajibu.:-
Naitwa MARIA lakini sio BIKRA.

0 comments:

Post a Comment