Sunday 25 August 2013

Jinsi ya kudownload video kutoka Youtube na kuhifadhi kwenye PC yako

Sunday, August 25, 2013 1 comment

Youtube ni website ambayo unaweza ukaangalia video za aina mbalimbali, ikiwa umetokea kuipenda video na kutaka kuwa nayo kwenye PC yako basi fuata step hizi rahisi
1. Fungua www.youtube.com kwenye browser yako kisha search video unayoitaka then ichague
2. Angalia link itabadilika na kuwa katika mfumo huu http://www.youtube.com/watch?v=ttdU19Kwce8
3.Badili link hiyo kwa kuongeza ss e.g http://www.ssyoutube.com/watch?v=ttdU19Kwce8
Itakupeleka kwenye page nyingine savefrom.net
4. Click download na uchague video format
5. Window mpya itafunguka na utachagua save file
savefrom.net#sthash.hdt9HTM9.dpuf
savefrom.net#sthash.hdt9HTM9.dpuf
savefrom.net#sthash.hdt9HTM9.dpuf

1 comments: