Sunday, 25 August 2013

Nammna ya Kuficha documents bila kutumia Software

Sunday, August 25, 2013 2 comments


Ni rahisi kuficha na kufichua mafiles yako kwenye PC  bila kutumia software ya aina yoyote. Tutatumia Command Prompt, Mfano una folder liko drive D lina videos ambazo hutaki mtu mwingine azione,
(a)Fuata step hizi kuficha:
1.Bonyeza Window button  na herufi R,  window mpya itafunguka na utatype cmd na kubonyeza enter
2. Command Prompt itafunguka na utatype  attrib  +s +h D:\Videos"   Utaona folder hilo halipo.
"attrib +s +h D:\Photos"
"attrib +s +h D:\Photos"
"attrib +s +h D:\Photos"

(b)Fuata steps hizi kufichua:
1.Fungua Command Prompt na utatype attrib  -s -h D:\Videos"  kisha uatona folder lako

2 comments: