Thursday, 24 October 2013

Ama kweli UALIMU ni wito

Thursday, October 24, 2013 No comments

MWANAFUNZI mmoja hajui kujumlisha wala kutoa, Mwalimu katumia njia zote kumuelimisha lakin wapi Ikabidi ajaribu njia hii
Mwl: Kwenu mnafuga nini?
Mwnfz: Kuku na mbuzi.
Mwl: Mbuzi mnao wangapi?
Mwnfz: 25
Mwl: Mbuzi 25 toa mbuz 5 watabaki wangapi?
Mwnfz: Unawajua mbuz we2, au unawasikia? Ukimtoa mmoja tu wote wanatoka.

0 comments:

Post a Comment