Thursday, 10 October 2013
Chezea wahaya kwa misifa wewe!
Thursday, October 10, 2013
funnysms
No comments
WAHAYA kwa mbwembwe, we acha tu! Mujuni na mkewe Kokubanza wanaishi Dar. Walienda likizo kijijini kwao huko Bukoba. Wakiwa huko wakawa wanaitana DARLING, DARLING. Wahaya wa kijijini wakainasa hiyo kwamba
hao wanaishi Dar ndio maana wanaitana Darling. Kwa sababu ya ujuaji wala hawakutaka kuuliza maana ya Darling. Walipoondoka tu nao wakaanza kuitana kila mtu na mkewe BUKOLING, BUKOLING eti kwa kuwa wanaishi Bukoba!
0 comments:
Post a Comment