Thursday, 10 October 2013
Kati ya mimi na Mama yako Unampenda nani zaidi?
Thursday, October 10, 2013
funnysms
No comments
BABA: Kati ya mimi na mama yako unampenda nani zaidi?
DOGO: Nawapenda wote
BABA: Mimi ningeenda Dubai halafu mamako akaenda London,we ungeenda wapi?
DOGO: Ningeenda London
BABA: Kwanini?
DOGO: London nakupenda
BABA: Je, mi ningeenda London mama yako Dubai we ungeenda wapi?
DOGO: Ningeenda Dubai
BABA: Hee, unanikwepa unamfuata mama yako
DOGO: Hapana, London si ningekuwa nilishakwenda
0 comments:
Post a Comment