Monday, 21 October 2013

MSIKILIZE ZUZU NA DEMU WAKE HAPA.

Monday, October 21, 2013 No comments

Baada ya Zuzu kutoka Hospitali alipoenda kung'oa jino, alipokuwa njiani akakutana na demu wake, mazungumzo yalikuwa hivi:
DEMU:Alafu ujue wewe mwanaume unanizingua,..! Toka juzi nakupigia simu haupokei.
ZUZU:Nilikuwa naumwa jino jana ndio nimeenda kung'oa.
DEMU: Pole sana, vipi bado linauma?
ZUZU:sijajua kama linauma maana nilipoling'oa nililiacha kulekule hospitali..
DEMU: Ovyoooooooooooo..

0 comments:

Post a Comment