Friday, 11 October 2013
Ndani ya daladala imetokea hii...
Friday, October 11, 2013
funnysms
No comments
NDANI YA DALADALA WATU KIBAO…
DEMU: Samahani Kaka naomba unipakate
JAMAA: Usijali, Njoo Tu Nkupakate..
DEMU: haya…!!
…BAADA YA MUDA…
JAMAA: Wewe Unaonekana ni Sekretari?
DEMU: Ndio, Kwani vipi?
JAMAA: Vidole vyako laini Kweli
DEMU: Nawewe Fundi Magari?
JAMAA: Ndio, umejuaje?
DEMU: Hapa Nilipokaa Naona
NAINULIWA NA KITU KAMA JEKI HIVI….
0 comments:
Post a Comment