Sunday 12 January 2014

Duh.! Dokta hoi....

Sunday, January 12, 2014 No comments

"Dokta alikuwa anawasafirisha Machizi wakapita Mbugani, 'Dokta akamu-uliza Chizi m1:-umewaona Simba wale..? "Chizi akajibu:-alaaa! Kumbe wale ndio Simba. "Dokta eeh ndo wale. "Chizi akauliza:-Sasa pale Kaseja ndio yupi..? "Duh.! Dokta hoi....

0 comments:

Post a Comment