Wednesday 25 June 2014

PESA NAZO KIGEUGEU!!!

Wednesday, June 25, 2014 No comments

PESA NAZO KIGEUGEU!!!*
Katika Ibada zinaitwa SADAKA,
Msibani zinaitwa RAMBIRAMBI,
Shuleni zinaitwa ADA,
Katika vyombo vya usafiri zinaitwa NAULI,
Ukinunulia haki zinaitwa RUSHWA au TAKRIMA,
Ukimlipia mtu mahakamani zinaitwa DHAMANA,
Kwenye kuoa zinaitwa MAHARI,
Katika semina zinaitwa POSHO,
Je ulizonazo mfukoni zaitwaje" Nipe jibu.

0 comments:

Post a Comment