Wednesday, 2 July 2014
Kitimoto kweli kitamu
Wednesday, July 02, 2014
funnysms
No comments
Jamaa alisahau kuzima simu akiwa msikitini anaswali.Ghafla simu ikaita akaingiza mkono ili aikate! Kwa bahati mbaya akaminya cha kupokelea, alipohangaika kuzima akajikuta kaweka loudspeaker, ikasikika sauti "Eti honey umesema niweke kitimoto kiasi gan"? Wa pemben yake akasikia akasema "mwambie aweke nyingi na mm nakula".
0 comments:
Post a Comment