Friday 27 September 2013

Dogo huyu katisha

Friday, September 27, 2013 No comments

 Katika daladala kitoto cha Nursery kinaimba: "Baba angekuwa jogoo, mama kuku,mimi ningekuwa kifaranga"....Watu kimya! Kikaendelea: "Baba angekuwa Beberu, na Mama Mbuzi,mimi ningekuwa Kitoto cha mbuzi"...,.Konda akaona kinamzingua akakiuliza: "je, baba yako angekuwa mlevi, na mama malaya, ww ungelikuwa nani?" kitoto kikajibu: "ningekuwa konda. 

0 comments:

Post a Comment