Friday 27 September 2013

WATOTO WA SIKU HIZI BALAA TUPU

Friday, September 27, 2013 No comments

Mtoto mmoja, aliambiwa aombee chakula mbele ya wageni, akaanza"Ee Mwenyezi Mungu naomba uwape chakula wageni hawa ili wasije tena kula  hapa nyumbani kwetu, nawaombea na wale wasichana waliokaa uchi kwenye simu ya baba wapate hela wanunue nguo, namuombea yule kijana anayecheza mieleka na dada kitandani, SIku MOJA, acheze fainali na John Sina,  pia nawaombea wale wasiokuwa na nyumba kama wale wanaume wanaokujaga kulala na mama wakati baba hayupo uwape hela wajenge nyumba zao waache kumsumbua mama Aameen". MTOTO ALIPOFUMBUA MACHO HAKUONA WAGENI BALI WAZAZI WAKE WAMEZIMIA.!!

0 comments:

Post a Comment