Friday 27 September 2013

Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa?

Friday, September 27, 2013 No comments

JOB VACANCY..
Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa?
1.Mshahara Tsh 600,000/= kwa mwezi.
2.Mda wa kazi kuingia saa 3 asubuhi hadi saa 10 jioni.
3.Allowance 300,000/= kwa mwezi.
4.Siku za kazi jumatatu hadi ijumaa.
5.Usafiri na nyumba ya kuishi upo na buree.
Requirements..
1.Cheti cha form 4 na form 6 {CSEE & ACSEE}
2.Elimu ya chuo. {Diploma au Bachelor degree}.
3.Hakuna uzoefu unaohitajika.
4.Umri chini ya miaka 45.
 Kama unahitaji hiyo kazi, basi usijali. Njoo ungana na mimi tuanze kuitafuta manake hata mimi
ninatafuta kazi hiyo.

0 comments:

Post a Comment