Thursday 26 September 2013

Huu ni mtazamo tu

Thursday, September 26, 2013 No comments

Kwa kuwa Mwanamuziki akifariki husindikizwa kwa NYIMBO, Askari au Kiongozi husindikizwa kwa kupiga Risasi au Mizinga. Kwa nini Mwalimu nae akifariki tusimsindikize kwa VIBOKO? Ni mtazamo tu jamani ww unaonaje je sawa au si sawa.

0 comments:

Post a Comment