Friday 27 September 2013

Nisaidieni jamani kwa hili?

Friday, September 27, 2013 No comments

Eti, labda mimi sijui au ni ushamba wangu au ni tatizo la kutotembea sana. Hebu nisaidie katika pitapita yako ushawahi kukutana na polisi zeruzeru???

0 comments:

Post a Comment