Sunday, 13 October 2013

MGENI KAMA HUYU UNAMCHUKULIAJE???

Sunday, October 13, 2013 No comments

 (Mwenyeji):-Utakunywa soda au chai?  
(Mgeni):-Ntakunywa soda wakati nasubri chai ichemke!
(Mwenyeji):- kuna sprite na coca nikupe ipi?
mgeni: Nipe coca hiyo sprite utaniwekea kwenye friji nitainywa bdae
(Mwenyej):-Unapenda mikate au maandaz?
(Mgeni):-Nipe maandaz kwanza mikate nitakula na soda jioni
(Mwenyeji):-Nikuandalie wali nyama au wali samaki?
(Mgeni):-Niandalie wali nyama ila unifungie  wali samak nitaondoka nao!

0 comments:

Post a Comment