Sunday, 13 October 2013
Mwanamke aliyepigwa kibuti duuu
Sunday, October 13, 2013
funnysms
No comments
Mwanamke flani alipata sms kutoka kwa mpenzi wake wa kando ikisema kuwa anataka uhusiano wao uishe.Wakati anaisoma akahisi uchungu na kuanza kutokwa na machozi.Mume wake alipomuona akamuuliza;
MUME:"Hio sms ya nini?"
MKE:"Ni ya jinsi ya kupika pilau tu...nimetumiwa na dadangu."
MUME:"Mbona unalia sasa?"
MKE:"Jamani si nimefika sehemu ya kukata kitunguu!"
0 comments:
Post a Comment