Thursday 24 October 2013

Ni kipi umesha tekeleza kati ya hvi??

Thursday, October 24, 2013 No comments

 KUMBUKA  Kitu bora cha kumpa mwenzio ni "UVUMILIVU",cha kumpa adui ni "MSAMAHA",cha kumpa maskini ni "MSAADA",cha kuwapa wazazI ni"HESHIMA",cha kumpa rafiki ni "USIKIVU"cha kumpa mtoto ni "MAARIFA"cha kujipa mwnyw ni "KUJIHESHIMU", cha kuwapa watu wote ni "UPENDO"Lakini cha kumpa MUNGU ni "MAISHA YAKO YOTE"

0 comments:

Post a Comment