Sunday 29 December 2013

Mambo ya dijitali noma

Sunday, December 29, 2013 No comments

Jamani hii tabia ya kutumiana zawadi kwenye simu tuiache. Ni jana tu kulikuwa na ugomvi kubwa huko kijijini baada ya mama mmoja kutumiwa sms na mwanae iliyokuwa na picha ya gauni na viatu kwa ajili ya sikukuu. Mama akaenda kwa wakala kutoa, Wakala akamwambia mama hii ni sms tu, mimi sitoi nguo kwenye simu natoa pesa tu. Mama akasema; hapana haiwezekani mwanangu hajawahi kunitania mbona kila siku ananitumia pesa na unatoa, kwanini leo usitoe? HUNIAMBII KITU HAPA

0 comments:

Post a Comment