Sunday 12 January 2014

Duuh binadamu bwana????

Sunday, January 12, 2014 No comments


Baba 1 alikuwa anasafiri kwa punda na mwanaye ,akampandisha mtoto kwenye punda yeye akitembea, watu wakasema anamdekeza mtoto, akaamua kupanda yeye na kumwacha mtoto anatembea, watu wakasema ukatili gani, anastarehe wakati mtoto anataabika, akaamua kupanda yeye na mtoto, watu wakasema ukatili dhidi ya wanyama,akaamua yeye na mwanawe kutembea watu wakadai hajui kutumia punda. Hivyo ishi upendavyo maana hata ufanyeje huwezi kuwaridhisha wote  duniani.

0 comments:

Post a Comment