Saturday 27 September 2014

Mchepuko sio dili

Saturday, September 27, 2014 No comments

Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si akakuta mchepuko wake, MKE: Unataka nini we mpumbavu? MUME: Nani huyo unamtukana? MKE: Kuna mtu hapa anakichwa kama nenda urudi badae MCHEPUKO:Nawewe pua kama poa MKE:Miguu kama masaa mawili MCHEPUKO:Masikio kama sichelewi MKE: Ondoka hapa mjinga we. …… Akafunga mlango MUME: mwambie ana macho kama sitoki leo ng'oo

0 comments:

Post a Comment