Thursday, 2 October 2014

Hii ndio Tanzania

Thursday, October 02, 2014

Nchi ambayo watu hushinda online 24 hours kila post wanacomment alafu wanalalamika maisha magum#shenzy fanya kazi Nchi ambayo watu hawajui katiba yao ya zaman lakini wanataka katiba mpya kwa hali na mali!!##pumbavu penda kujifunza Nchi ambayo ajira ni nyingi lakini wasomi asilimia 90 wanataka kuajiriwa## Kilaza jifunze kujiajiri Nchi ambayo mnatongozana asubui jioni mko supermapenzi gest house## nyambafu mnatofaut gani na ng'ombe wa mbegu....kuwa mgumu wewe sometym Nchi ambayo mitaala na matokeo ya sekondari yanabadilishiwa utaratibu kila cku ili taaluma ipande lakni ndo kwaanza manunda yanaongezeka## Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.....nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana.

0 comments:

Post a Comment