Tuesday, 7 October 2014

Mitoto mingine duuh

Tuesday, October 07, 2014 No comments

Jamaa alikuwa anapiga story na baba yake, Mtoto:baba me nataka kuoa Baba:vizuri mwanangu,vipi umeshapata mchumba? Mtoto:ndio Baba:unataka kumuoa nani? Mtoto:nataka kumuoa bibi Baba:ha! Yani umuoe mama yangu? Mtoto:ndio baba mbona we umemuoa mama yangu Duuu kusikia hivyo mshua akachoka!!

0 comments:

Post a Comment